JINSI YA KUTHIBITISHA KURIPOTI CHUONI

Wanachuo wote waliochaguliwa na TAMISEMI na NACTVET mnapaswa kuthibitisha kuripoti chuoni kwa kuwasiliana na afisa Mdahili kwa namba 0654568750. simu zipigwe siku na muda wa kazi (Jumatatu – ijumaa, saa 2 asubuhi hadi saa 9 na nusu alasiri).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *