Month: August 2023
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo
TAMISEMI – Clinical Medicine TAMISEMI – Medical Laboratory NACTVET – Clinical Medicine NACTVET – Medical Laboratory
JINSI YA KUTHIBITISHA KURIPOTI CHUONI
Wanachuo wote waliochaguliwa na TAMISEMI na NACTVET mnapaswa kuthibitisha kuripoti chuoni kwa kuwasiliana na afisa Mdahili kwa namba 0654568750. simu zipigwe siku na muda wa kazi (Jumatatu – ijumaa, saa 2 asubuhi hadi saa 9 na nusu alasiri).
TAREHE YA KURIPOTI CHUONI
MKUU WA CHUO ANATANGAZA TAREHE RASMI YA KUANZA KURIPOTI CHUONI NI KUANZIA TAREHE 02 OKTOBA HADI TAREHE 16 OKTOBA.